Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hapa ndio niliona umefungua zaidi mdomo wakati wa kucheka ๐Ÿ˜€

#TunasuburiTunasubiri
Hata sioni bro.

Kwa kifupi jamaa/librarian siju yake ya kwanza ya kazi, akaanza kupanga vitabu kwenye shelf๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.Sasa issue ikawa kwamba licha ya kuwa ameshapanga ila msimamizi akawa anamsisitizia hebu panga vitabu jamaa kimya (bcoz kashapanga๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚), panga vitabu bwana "kimya" basi bwana jamaa kibarua kikaota nyasi๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Bradha habari gani
Mbona unataka niamini wewe ni mtata flani wa chini chini hapo yego kaingiaje tena โ˜น
Babe! [emoji847]...
Hahahahahahah, bro kwema?

Juzi nikaoga halafu nikakosa pilau.I hope ni kwema pande hizo.

#AmeingiaHivyo
#SemaHarusiSaaNgapiNasikiaAmekubaliHataKwaDroo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ