Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ watu wa bara hatuli hivyo vidude viurojo.
Unasubiri taarifa ya habari saa 5? Unataka uanze kushinda baaa na wewe
siwalazimishi kula ila nawaonea huruma sana kwa kijikosesha raha.
ofisi ya makamo wa pili wa raisi wa zanzibar nje yake panauzwa urojo.


watu wa bara munajua kupika chapati, vitumbua, maandazi ya mafuta na uji wa mtama utadhani tupo msibani.
mukipika keki inakuwa ngumuuuu kama kileja.
mukipika vileja vinakuwa vigumuuu kama mawe
mukipika pilau ndio balaa, si ajabu kumkuta mwanamke wa bara anaweka tungule na bizari manjano ndani ya pilau utadhani anapika mchuzi wa maji.
 
Tumekokukosea nini wewe mzanzibari. Christmas njoo kwetu uone mapishi konkiii
 
Hahaha

Man U tunapitia kipindi kigumu sana, Mungu pekee ajuaye

Naona tunaongoza
 
Ila Joker imenishangaza sana,wamepiga pesa ndefu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…