Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Utaniambia baadae yatunze ππ@Davet asije akacopy[emoji8][emoji8]
Naandika nafuta, haya bhana[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kutawaliwaKukaliwaje? Sijaelewa[emoji2]
πππNumbisa mdogo wangu ukinisalimia sinenepi
WoiiiiiAu alijiteka maana naye D
Hata sijui kama nimekusalimia leo. Natumaini siku yako inamalizika kwa amani.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Umenichekesha sana mpendwa.
itakuwa una mapengo ndio maana Depal amekukataaaBro alinikataa
Umeamua kuvunja ukimyaThe Happiness Nakumiss π
Hehehee hata mie sijui
Nawe ukakata tamaa?Bro alinikataa
Kuangalia live match za man u ni kujitafutia presha saa nyingineKutangulizwa ni mbaya sana
πππππππππUmenichekesha sana mpendwa.
No comment πππBro na wewe acha uboya. Uko Chuga hapo hapo kwa Depal inakuwaje unawaachia Wanyiramba watoke Manyoni huko na alizeti flowers zao na kuja kumtwaa nawe uko hapo hapo unacheka tu na hii avatar yako? Depal baridi linapuliza analalamika weee we upo upo tu. Unaniangusha sana bro [emoji36][emoji36][emoji36][emoji2221][emoji2221][emoji2221]