Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
πππUtaniambia baadae yatunze ππ@Davet asije akacopy
Ni hatariiUarabuni nako dah !!![emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1243544
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro bhana, umenichekeshanaBro na wewe acha uboya. Uko Chuga hapo hapo kwa Depal inakuwaje unawaachia Wanyiramba watoke Manyoni huko na alizeti flowers zao na kuja kumtwaa nawe uko hapo hapo unacheka tu na hii avatar yako? Depal baridi linapuliza analalamika weee we upo upo tu. Unaniangusha sana bro [emoji36][emoji36][emoji36][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Siku kwangu imekuwa njema, Sijui kwa upande wako mpendwa.Hata sijui kama nimekusalimia leo. Natumaini siku yako inamalizika kwa amani.
ππππ toka asubuhi natamani kumuambia ila naona jau sasa imebidi tu kwakweliUmeamua kuvunja ukimya
Hahah wewe jamaa bhana post zako sijui huwa unawaza nnnimeona bora nikae ndani na computer yangu niwakere walaji sembe kuliko kuendelea kuangalia mechi ya man utd.
tupo ovyo ovyo ovyo.
tuna safari ndefu sana ya kurudi tena kwenye ubora
Unaongea sana we hivi hauna mapengo kweli?hivi mpendwa leo una lengo gani na mimi jamani?
nataka kulala lakini unaendelea kuleta mada za kichochezi na muombezi huna, huyo depal unayemtegemea muda wowote kuanzia sasa atarudi baaa aendeleze tabia yake ya kunywa maji kama samaki
Ulipenda nicheke vicheko vingapi mpendwa?Dah! Vicheko vyote ivo
Huku kwema mpendwa. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Siku kwangu imekuwa njema, Sijui kwa upande wako mpendwa.
Nawe ukakata tamaa?
Heheh!!Ee bana
Si beti ikabuma. Watu tushaandaa pilau,vinywaji nakadhalika shuain lalana akaharibu shughuli
Hatujakaa sawa bradha katuletea misamiati mipya ya jamaa wa library na kupanga vitabu
Hee kugeuka kule yupo hawachi bana utadhan kaazima nywila,hawachi wetu mpole mpole leo kawa mtaalamu awesome
Bila kusahau daemusin mkorea wa kizenji mwenye ugomvi matata na sembe
Oppsss ndugu wapendwa leo ni mechi ya man u kule pande za futuhi
Dedication kwa man u
#ipoSikuTutarudiUCL
Mwisho wa sikuuuuu
#FreeeThehappiness
Nao wi a tokingi bro [emoji109][emoji109][emoji109]Bado
Hehehehee jamani umeanza vizuri umemalizia vibaya hapo kwa man u tu . acha uadui uende mbinguni,ipende man uHeheh!!
Kwa taarifa tu niliyopenyezewa ni kwamba
Depal alikuwa busy kutafuta maji ya madafu etiiii ningendako ndo maji yake ya kuoga hayo.
Vilevile alikuwa anajifunza kupika chapati za alizeti.
Kingi bhana wivu umemzidi kisa anakandwa na maji ya barafu
Hawa vijana wanakula maisha sijui Bradha ana fail wapi
Mwisho wa sikuuuu man u mfungwe tuuuu
Movement inaendelea
#freeTheHappiness
#vijanapunguzeniwivu
#achieni nywila hizo