Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hahahaha nacheka kma mazuri vile. Pole sana. Halafu muda mdogo nataman wangeweka kuanzia saa tano

Pia ukitaka kuifaidi halotel night usiwe na kifurushi kingine ndani yake. Yaan hakikisha mb za kawaida zinasoma 0 hapo net inakua na kasi nzuri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkorea bhana
 
Raheem Sterling vs Atalanta, dakika 12

Sterling aliingia kwenye rekodi za kuwa mmoja wa wachezaji waliofunga hat-trick za haraka kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, wakati alipotua dakika 12 tu kufunga mara tatu kuisaidia timu yake ya Manchester City kutoa kipigo cha mabao 5-1 dhidi ya Atalanta. Mechi hiyo ilipigwa Oktoba 22 mwaka huu.
 
Luiz Adriano vs BATE Borisov, dakika 12

Staa wa Kibrazili, Luiz Adriano akiwa kwenye ubora wake katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya aliisaidia timu yake ya Shakhtar Donetsk kuichapa BATE Borisov 7-0. Mechi hiyo iliyopigwa Oktoba 21, 2014, Adriano alikamilisha hat-trick yake akitumia dakika 12 tu na kumfanya kuingia kwenye orodha hii ya wakali wa kupiga fasta hat-trick kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya.
 
@Hawachi ukuje kuna recipe ya urojo huku toka kwa mkorea
 
Luiz Adriano vs BATE Borisov, dakika 12

Staa wa Kibrazili, Luiz Adriano akiwa kwenye ubora wake katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya aliisaidia timu yake ya Shakhtar Donetsk kuichapa BATE Borisov 7-0. Mechi hiyo iliyopigwa Oktoba 21, 2014, Adriano alikamilisha hat-trick yake akitumia dakika 12 tu na kumfanya kuingia kwenye orodha hii ya wakali wa kupiga fasta hat-trick kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya.
 
Cristiano Ronaldo vs Malmo, dakika 11

Supastaa wa Juventus, Cristiano Ronaldo aliweka rekodi yake ya kufunga hat-trick ya haraka kwenye Ligi ya Mabingwa Ullaya wakati huo alipokuwa akiitumikia Real Madrid, ambapo alifanya hivyo kwenye ushindi wa mabao 8-0 dhidi ya Malmo, mchezo uliopigwa Desemba 8, 2015. Katika mchezo huo, Ronaldo alitumia dakika 11 tu kukamilisha hat-trick.
 
Mike Newell vs Rosenborg, dakika 9

Wakati huo, Blackburn Rovers ilivyokuwa ikifanya mambo yake kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, mmoja wa mastaa wake, Mike Newell kuandika jina lake kwenye rekodi za kihistoria, wakati alipotua dakika tisa tu kufunga hat-trick kipindi Rovers ilipojipigia Rosenborg 4-1, Desemba 6, 1995. Jambo hilo linamfanya Newell kuwa mchezaji wa pili kufunga hat trik ya Mabingwa Ulaya akitumia muda mfupi zaidi.
 
Bafetimbi Gomis vs Dinamo Zagreb, dakika 8

Straika Bafetimbi Gomis ndiye mchezaji anayeshikilia rekodi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ya kufunga hat-trick ya haraka zaidi Ligi ya Mabingwa Ulaya alipofanya hivyo akiwa na Olympique Lyon ilipojipigia Dinamo Zagreb 7-1. Mechi hiyo ilifanyika Desemba 7, 2011 na tangu wakati huo hakuna mwingine aliyefunga hat-trick kwa haraka zaidi kuliko Gomis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…