Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakuna kipaji kwenye mazoezi yako binafsi,
Punguza uvivu.
Na ukianza mazoezi usianze kuonea wivu kalio lako wala mahips uliyonayo,
Maana mazoezi yana tabia ya kunyakua minyama, ndiyo maana baadhi ya wadada wenye makalio makubwa hawataki kusikia habari ya mazoezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hmm unajua me kwa siku nakula zaidi ya Mara 3? Nikiendekeza minyoo itabidi nikaolewe mkulima [emoji39]

Mazoezi najitahidi ila hicho kipaji sina
 
Hahaha hayo mazoezi yakinyakua vinyama vyangu si nitabaki mbavu mbili πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…