Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sure, halafu utatukuta tunajiachia kwenye Celebrity forum kuponda kwamba Ali Kiba hana utajiri, Diamond hajanunua nyumba fulani, nk.

Hapo wengine tumeingia kwa freebasics.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Umeua Mtani.

Na wengine tunakaa kwa Wajomba zetu hapo.
 
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Sesten Zakazaka saa hii si upo kwenye kikao lakini unachungulia Jf vile vile eee? 🀣🀣🀣
Sawa kabisa Shadeeya pilika za kazi hazizuii kuingia JF kujumuika na wananzengo, kusoma maoni ya watu na kutoa maoni yako huku kazi na vikao vinaendelea kama kawa, maisha ukiyafanya rahisi yanakua rahisi tu mamii
 
Hivi ni kweli King kaonekana japo kwa picha tu au mnatania? Tangu juzi naona Moud anaita watu waende na picha zao PMni kwake ili awape ya King. Mara tena kaonekana laivu [emoji16][emoji16]
Kamanda ujue nilitamani sana kuona picha za andaeitini wetu hapa, ndiyo maana tulitimia picha ya mfalme kama mtego, pia kumbuka kuna mmoja alidai ana misumali kifuani[emoji23][emoji23][emoji23]. Daaa,[emoji23][emoji23] nilitamani sana kuona hiyo misumali, lakini hawajaja kumuona mwana wa Mfalme[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…