Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah! TH wangu namuamini sana bro nyie andaeni tu sutiHawa wanaokuzindua zindua huwa una waamini kwa asilimia ngapi bro, kabla hatujafika kwenye ndoa?
Hahah! InShaALahBro usikonde, "hata Mbacha ulikuwa Msala"
Na "Kibeku kilikua Ungo"
Ipo siku utashuhudia mambo makubwa zaidi yanayokuhusu wewe mwenyewe, achana na hayo ya watu.
Ingawa Mungu aepushie mbali, maana siyo mazuri
Kuna mitaa nilipita bro nikakuta watu wakionyesha shauku yao ya kutaka kukuona japo kwa picha nikasema bro nae ni most wanted....
Ukikutana na watu kama hao sio mbaya kutekeleza hitaji lao ILA kama unawaamini ILA kama haitakua na madhara kwako
Eti waitabiria ushindi. Wabongo maneno mengi mno jamani...na visingizio kibao !!!
Mitaa gani hiyo bro nikawatimizie hitaji lao sasa hivi?
Picha yangu hapa haitakuwa na madhara. Sina deni na mtu. Sitafutwi na dola. Ni mzee wa Koromije tu mkulima wa nyanya na dengu sasa niogope nini bro?
Pole sana bro!
Kumbe ni kawaida haya mambo, mimi jana tu nimeona mkasa kama huu wako yani mtoto kavishwa Pete juzi tu na jamaa alafu harusi ni mwezi ujao ila alichofanya jana daah!
Kawaida sana haya mambo bro. Tena ukimvisha pete ndiyo majamaa yanaanza kupiga shoo za maagano. Kama ndiyo umewekeza kabisa kabisa moyo wote na resources unaweza kuathirika sana usipokuwa na washauri wazuri. Ndiyo maana mi nikiona njemba kaua mtu kwa hizi ishu wala sishangai sana. Wengine wanahangaika kutafuta waume, wengine bado wanacheza. Ni vurugu tupu yaani...
Hahah! Eti Mzee wa Koromije muuza Nyanya na Dengu, bro bhana mjanja mjanja sana
Mitaa gani hiyo bro nikawatimizie hitaji lao sasa hivi?
Picha yangu hapa haitakuwa na madhara. Sina deni na mtu. Sitafutwi na dola. Ni mzee wa Koromije tu mkulima wa nyanya na dengu sasa niogope nini bro?
Asante sana numby,, safari yetu ni moja kikubwa ni kujiandaa tu.
Asante sana numby,, safari yetu ni moja kikubwa ni kujiandaa tu.