Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1005]
[emoji23][emoji23][emoji23] mtani ni nini kuniweka kwa trashcan??

Bhana don't be threatened na hizi kauli za mitandaoni.
Hizi ni kauli za kujifariji tu endapo itatokea umechapiwa uone ni kitu ya kawaida.

Mapenzi ni matam na kusalitiwa kunauma.
Pendaneni,heshimianeni.

#ndoanaiheshimiwenawatuwote
#kuchapanakuchapiwaniuwamuziwamtu

[emoji124][emoji124][emoji124]ngoja nirudi kulala[emoji111]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…