Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
shida ni Man U au ligi ya England? mbona wachezaji wengi wakiwa nje ya ligi ya England wanafanya vizuriMshambuliaji Romelu Lukaku amefunga bao lake la saba katika Serie A msimu huu wakati Inter Milan ikichapa Brescia 2-1 na kukalia usukani wa ligi.
shida ni Man U au ligi ya England? mbona wachezaji wengi wakiwa nje ya ligi ya England wanafanya vizuri
Hahah! Najiona mimi kitambo
Hahah! Najiona mimi kitambo
Huyu Biharusi nahisi ni member mwenzetu humu anagawa likes adi kwenye harusiMwendo wa kuchati katikati ya tukio muhimuView attachment 1248817
😀😀Hehehe,
Napenda sana wamwaga Ugali kama huyo BonifaceVijembe...
Sana tu bro 😀Kumbe ulikuwa hivyo bro[emoji23]
Huyu Biharusi nahisi ni member mwenzetu humu anagawa likes adi kwenye harusi
Toa 10 😂😂😂Sasa dogo haya mambo utayajulia wapi🤣🤣
Mimi dadako nna 33,
Sio najitoa wakishua, me simoo 😂Naona unajitoa kwa group eeh?[emoji16][emoji16]
Wewe dogo unaota[emoji1787][emoji1787]Toa 10 [emoji23][emoji23][emoji23]