Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakuna ndumba mpendwa kilichopangwa na Mungu.
wanialike harusi yao haijalishi kama watapika sembe nitakula hivyo hivyo.
Depal kuja hapa muhuni wewe uliyeshindwa kunipa taarifa ya kuchumbiwa na mteja wa humu ndani.
mume anapenda likes
mke anapenda likes.

si mtakuja kupigana ngumi kwa kushindwa kuandaa chakula mapema?
 
Yaani we Mwanaume ni Mzaramo nimecheka sana hii comment yako 😁😁😁😁😁😁😁😁😁.
 
Yaani we Mwanaume ni Mzaramo nimecheka sana hii comment yako 😁😁😁😁😁😁😁😁😁.
kiukweli depal hajanitendea haki kwa kushindwa kunipa taarifa
kila siku namtania amechumbiwa kumbe kuna mtu zile comment zinamuumiza kwa ndani.
cha ajabu bibi yule ameendelea kukaa kimya utadhani kama amefumaniwa na mume wa mtu.
 
Jf ni kichaka inawezekana Daemusin ni Mzaramo wa kisiju Ugali anakula kama kawaida nimeanza kuwa na wasiwasi sio Zanzibar huyu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
ugali nakula mpendwaaa.
masikini hachagui chakula.

lakini kwa mwaka naweza kula ugali mara tano.
tarehe ya mwisho kula ugali nimeshaisahau.
 
Wote tunajua humu kwamba Depal wake Ningendako huyo wako wewe watu hatumjui.
mbona alikuwa hakanushi comment zangu.
mbona mtu mume hakuonekana kuchukizwa na comment zangu.

au hana wivu na mali yake?
kazi kwake akiendelea kukaa kimya wasukuma wanavyopenda sifa wanaweza kumhonga ndege ya mjomba wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…