Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimeshastaafu ndugu yangu. Miaka 81 nitamwongoza nani? Halafu na kula sembe nako si unajua kunadumaza akili, mwili na fikra?
maalim seif ametimiza miaka 74 wiki iliopita lakini bado ubongo wake uko fiti.
mbona waziri mkuu wa singapore au malaysia alifanya mambo makubwa nchini mwake akiwa mzee
umri si hoja bwanaaa.
 
maalim seif ametimiza miaka 74 wiki iliopita lakini bado ubongo wake uko fiti.
mbona waziri mkuu wa singapore au malaysia alifanya mambo makubwa nchini mwake akiwa mzee
umri si hoja bwanaaa.
Hao wote ulowataja si ajabu wamekulia urojo hivyo ubongo wao bado uko sharp. Mi sembe imeniponza...heri ningejua...[emoji16]
 
Hao wote ulowataja si ajabu wamekulia urojo hivyo ubongo wao bado uko sharp. Mi sembe imeniponza...heri ningejua...[emoji16]
ukipata mchanganyiko wa urojo kwa wiki moja tu utarudisha uwezo wako.

nitakudhamini fomu ya kugombea.
usipoteze kipaji chako.
watumikie ndugu zako wa usukumani wapate kusonga mbele zaidi.
magufuli pekee hatoshi kuwakomboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…