myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ukimfatilia mazoezini utaona mazoezi anayofanya sana kwa sasa ni kupiga hiyo mipira mfu, umri unaenda sasa anapunguza majukumu uwanjani ndio maana siku hizi hakimbii kumbii sana .....hivi mjomba messi huwa anafanya mazoezi wapi ya kupiga free kick?
nimeona nibadili mada baada ya kushuhudia povu zito la sabuni ya foma gold kutoka kwako.
hivi una undugu na khadija kopa?
anaikimbilia rekodi ya juninho japokuwa ni mbali sanaUkimfatilia mazoezini utaona mazoezi anayofanya sana kwa sasa ni kupiga hiyo mipira mfu, umri unaenda sasa anapunguza majukumu uwanjani ndio maana siku hizi hakimbii kumbii sana .....
😂😂😂😂😂 Eti undugu na Khadija
Huyo Juninho namba zake zimesimamaje?anaikimbilia rekodi ya juninho japokuwa ni mbali sana
kama sikosei amefunga mipira ya adhabu mara 77 wakati messi mpaka sasa amefunga mara 50Huyo Juninho namba zake zimesimamaje?
Duh! Kweli huyo alikuwa jini wa hiyo Mipira, hapo Messi bado ana safari ndefu sana kufika hukokama sikosei amefunga mipira ya adhabu mara 77 wakati messi mpaka sasa amefunga mara 50
Yule kocha akili zake anazifahamu mwenyeweMpaka Umtiti!! basi wanafumua kikosi na kukijenga upya
zaidi ya jiniDuh! Kweli huyo alikuwa jini wa hiyo Mipira, hapo Messi bado ana safari ndefu sana kufika huko
halafu yeye hachagui eneo la kufunga freee kickDuh! Kweli huyo alikuwa jini wa hiyo Mipira, hapo Messi bado ana safari ndefu sana kufika huko
🙌🙌zaidi ya jini
Hahahahaa humu T ni mmoja tu yupo ndani ya himaya ya king labda hawachi atuambie T mwingine ni yupi huyoi
ndio hapo sasa.Hahahahaa humu T ni mmoja tu yupo ndani ya himaya ya king labda hawachi atuambie T mwingine ni yupi huyoi