Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wamakonde bwana!

Mmakonde anavyojua kupenda balaa!mkewe alipokwenda kusalimia wakweze yaani wazazi wa mmakonde na kukaa huko kwa muda mrefu, jamaa(chinga) akaandika barua kuwajulia hali wote na alianza hivi : Baba chalamu (salaam) mama chalamu nke wangu chikamoo. Du jamaa anajua kupenda [emoji23]
 
Ni wafungwa hao bro, hapo unakosa uhuru pekee, ni mwendo wa kugonga pizza, spaghetti, noodles, chicken sekela, chicken tikka, burgers nk[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ukishapiga msosi wa maana unaruhusiwa kuingia Gym, kwenye uwanja basketball au kuogelea, kwenda kuweka mwili sawa.
Huku kwetu ukiwa mfungwa mbali ya kupoteza uhuru wako pia upoteza utu wako.
Hivi hawa Ni wafungwa au Wala Bata?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…