carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
COLE aione hii
Nataka wapigwe idadi ya huo mkono aliounyanyua hapo chini[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1252161
Amelala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Wapi colee[emoji23][emoji23][emoji23]
Ibra hana jipya zaid ya majigambo na kuonea madogo kila aendako. Huyu ole bora asepe tubasi ana chembe chembe za ubahili ndani yake
anajua mandzukic na ibrahimovic hawatokaa kwa muda mrefu ndani ya klabu, kuja kwao na kuondoka kwao hakutaathiri maendeleo ya greenwood, rashford na watoto wengineo tofauti na usajili wa dyabala na mafundi wengineo.
OGS ana mentality za kizamani, imani yake kubwa ni kwamba wachezaji wanaotokea ndani ya klabu ndio wanaifahamu thamani ya jezi
I will never Walk alone[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo watu wanajipigiaView attachment 1252167
😂😂😂Man u,Aston Villa mnakwama wapi jamani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenikumbusha ile clip wanapiga Bei jezi.
"Arsenal Ni Mia tano, Liverpool miatano, Manchester Mia tano,...
Zikaisha zote ikabaki man u..
"Manchester Mia moja, Manchester hamsini, Manchester Ni bureee"
Manchester [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
yupo chooni muda huu.
kila anaposhika shika panageuka kinyesi.
man utd
barcelona.
huyu jamaa asiruhusiwe kununua kamba huenda atajinyonga
Hajalala huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji1787].
Nilisema nitamtafuta popote Leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo nakula naye sahani moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shimba usijidai hunioni humu[emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Shimba this is Liverpool [emoji123][emoji1]
Iko na muonekano mzuri, ingekuwa sokoni ingefanya vizuri sana.Hiyo haipo sokoni na wala haitoki hivi karibuni nikama imevuja tu bro
Now we are talking[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilisema mimiI will never Walk alone[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].
Hatari fayaa wanaume wamecheza mpira.
Nilikwambia dada game haijaisha..ukanipigia kelele Sana ile half time ya mwanzo[emoji1787]
Arsenal Ni miatatu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe kiboko. Hata Moud cha mtoto. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]Nilisema mimiI will never Walk alone[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].
Hatari fayaa wanaume wamecheza mpira.
Nilikwambia dada game haijaisha..ukanipigia kelele Sana ile half time ya mwanzo[emoji1787]
watafukuzwa wangapi?Ibra hana jipya zaid ya majigambo na kuonea madogo kila aendako. Huyu ole bora asepe tu
[emoji23][emoji23][emoji23]ninge tujiandae kujifichaa
Leo raha sana hahahaArsenal Ni miatatu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Manchester Ni bureee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Poleni kwa maombi wapendwa[emoji2960][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].
Hii Ni Liverpool [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mia ili mwarabu atumie pesa zake vizuriwatafukuzwa wangapi?
babu nakwambia huyu kitukuu chako ubishani wa sembe sitii mkonoooo.Wewe kiboko. Hata Moud cha mtoto. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]