capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
[emoji23]tutafanyaje ssHii ni habari njema,
Bila shaka wewe pia mfupi.
Jirani mwema? Nilikua nimetoka kidogo mchana kutwaJirani leo yuko wapi?
Maskini ArsenalKama nilivyokuwa nimeahidi, Saint anne akijitokeza tu hapa mi nazima data. Hovyo kabisa yaani...
View attachment 1252191
Bado tabu iko..
AiseeRoma wako tayari kutoa ofa ya pauni 12.9 kwa Manchester United kwa Chris Smalling, 29 baada ya mchezaji huyo wa nafasi ya ulinzi kuanza vyema katika klabu inayocheza ligi ya Serie A. (Guardian)