moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Itafute furaha popote ilipo bro
U hali gani eti?
Maana humu kuna majeruhi tu leo[emoji23][emoji23]
Itabidi nipunguze madhambi aisee ili siku nyingine maombi yangu yawe na nguvu. Kuchekwa na Wanyakyusa hivi wala siyo poa aisee
Yaan mtani mimi nishabikie vyura??mimi kabisa?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana,mimi sina team ila nafurahi sana man u akifungwa
Yaan mtani mimi nishabikie vyura??mimi kabisa?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana,mimi sina team ila nafurahi sana man u akifungwa
Kumbe unatumia TECNO??
Ndo maana shabiki Liverpool.
Kumbe man u wamezungusha[emoji134][emoji23].[emoji1787][emoji1787]View attachment 1252385
Afadhali, umetusumbua sana Ujue!
SYB sema oyee[emoji137][emoji12]Liverpool oyeeView attachment 1252381
Waleykum salaam sheikhAsalaam Alyeikum wakuu
Nyie nanyi. Si unazimyuti tu kwa muda...Me zikinizidiaga natoka kabisa JF [emoji23][emoji23][emoji23]
What "stuff"?Friendship is weird.
You pick a human you've met
and you're like,
"Yup, I like this one"
and you just do stuff
with them.
[emoji177]
Walioshindwa utawaona tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aaaah wapi bro,
Mashabiki kibao wa timu yako wanatumia visimu hivyo.
Jibu hoja zake
Usiku wa majonzi kwa baadhi ya watu [emoji23]
Oyeeeeeeee !!!SYB sema oyee[emoji137][emoji12]