Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anzisha uzi
 
Nenda jukwaa la biashara mkuu huko utapata watu wenye ujuvi na biashara..humu tupo makapuku kupoteza muda siku iende
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Shost leo uko wapi?
 
Kutokana na ubuyu kuwa na kiwango kikubwa cha madini ya chuma hupunguza hatari ya kupata magonjwa ya upungufu wa damu (Anemia). Kwasababu madini ya chuma huusika katika uzalishaji wa seli nyekundu za damu. Pia kwa mgonjwa wa upungufu wa damu mwilini kwa kutumia ubuyu kutamsaidia kuweza kurejesha kiwango chake cha damu mwilini.
 
Mbali na madini hayo pia ubuyu una nyuzi lishe (fibers). Nyuzi lishe hizi husaidia hasa katika mfumo wa mmeng’enyo wa chakula. Huondoa maumivu wakati wa haja (constipation). Nyuzi lishe hizi pia ni msaada mkubwa katika kurekebisha kiwango cha sukari mwilini, kiwango cha lehemu (cholesterol) vilevile nazo husaidia katika kuboresha afya ya moyo.
 
Mbali na nyuzi lishe ubuyu una viondoa sumu (anti – oxidants). Viondoa sumu hivi husaidia kuondoa sumu mbalimbali katika mwili hivyo husaidia kuukinga mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali pia kuukinga mwili dhidi ya saratani (cancer).
 
Mbali na kuimarisha kinga ya mwili vitamini C husaidia katika uzalishaji wa Collagen. Uzalishaji wa Collagen mwilini huusaidia mwili kuongeza ufanisi kwa utendaji kazi wa mifumo mbalimbali ndani ya mwili. Pia husaidia kupona kwa majeraha kwa haraka.

Hizo ni baadhi ya faida ambazo unaweza kuzipata kiafya kwa kula ubuyu.
Mpaka sasa hakuna matatizo yoyote yaliyobainika kwa mtu kula ubuyu isipokuwa mafuta kutokana na mbegu za ubuyu yamebainika kuwa na kemikali ijuikanayo kwa jina la Cyclopropenoid fatty acids (CPFA).

Kemikali hiyo katika tafiti mbalimbali imegundulika kusababisha ugonjwa wa ini pamoja na saratani(cancer).
 
Anzisha uzi
Ndiyo kama yule kijana aliyeliza watu kwenye Forex karudi tena na mawazo haya haya ya kuzalisha pesa chapu chapu...

Likely hii ni pyramid scheme. Pesa zinazunguka kidogo wale wa juu wachache kwenye pyramid wanapata hizo milioni 50 ili wakazane kuleta wengine halafu ikifika mahali mzunguko unakata basi wengi wa chini wanaandika maumivu.
 
FAIDA ZA KULA UBUYU.
Kikubwa hasa ubuyu katika mwili una uwezo mkubwa wa kuimarisha kinga ya mwili, kuimarisha mifupa, kusaidia mfumo wa umeng’enyaji tumboni, kupunguza maumivu na uvimbe na kusisimua utengenezaji wa seli na tishu mpya .
Naomba faida za kula ubuyu i.e. umbea [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…