MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,137
- 3,952
Utafiti mpya na wa muda mrefu umeleta kizaazaa baada ya kuonyesha kuwa ulaji wa nyama nyekundu hauna madhara makubwa kama ilivyofikiriwa hapo mwanzo.
Inavyoonekana wanasayansi nao bado wanajifunza. Ndiyo maana mimi natumia karibu kila kitu (isipokuwa pombe na sigara) kwa kiasi na kwa muda mfupi tena kwa kubadilisha badilisha. Wanasayansi hawa leo watasema hichi halafu kesho tena wanageuza kinyume chake. Leo kahawa nzuri kesho inasababisha kansa. Leo bia mbaya kesho bia ni nzuri...ali mradi vurugu tupu.
When Sadio Mane scored the winner against Aston Villa, he got a boot in the face while heading the ball.
View attachment 1253056
Sayansi siku hizi imeingiliwa na ufisadi. Ukichunguza hata hawa watafiti utakuta si ajabu wamefadhiliwa na meat industry. Ndiyo maana kila siku studies zinazokinzana wakati kitu ni kile kile....Itakuwa imekaa kibiashara.Kama sasa hivi malaria sio deal, U.T.I ndio deal.
hongera brother kwa kugonga miaka 50.
[emoji23][emoji23][emoji23]umewaza nini moud
Dunia kwa sasa tuna magonjwa ukifikilia unaweza kunywa maji tu na matunda maana kila chakula ukifatilia unaambia kinasababisha ugonjwa Allah atunusulu.Hii ya kahawa kusababisha kansa mpya kwangu.Utafiti mpya na wa muda mrefu umeleta kizaazaa baada ya kuonyesha kuwa ulaji wa nyama nyekundu hauna madhara makubwa kama ilivyofikiriwa hapo mwanzo.
Inavyoonekana wanasayansi nao bado wanajifunza. Ndiyo maana mimi natumia karibu kila kitu (isipokuwa pombe na sigara) kwa kiasi na kwa muda mfupi tena kwa kubadilisha badilisha. Wanasayansi hawa leo watasema hichi halafu kesho tena wanageuza kinyume chake. Leo kahawa nzuri kesho inasababisha kansa. Leo bia mbaya kesho bia ni nzuri...ali mradi vurugu tupu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] humu raha sana
Pole ya nini jamani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkorea analilia maji wakati lishe yenyewe duni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Unadhani angegonga kongolo na chapati tatu asubuhi angejishauri kunywa!!?[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
kunywa maji mengi kunapelekea ujenge urafiki na chooooooo.
muda wote unafungua bomba yako