capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Rais kapewa Mamlaka ya kumteua Jaji Mkuu lakini kanyimwa mamlaka ya kumtengua., kuna umuhimu wa viongozi kusoma katiba.
Chocolate[emoji8][emoji8]View attachment 1253709
Pyramid vs Yanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nililala labda maji. Na huku porini maji ya kisima rangi ya maziwa duhJamani pole wakishua, kunywa maji eti au Jana hukulala usingizi wa kutosha?
Ok poa bro, uzima upo lakini bro?Aah nimeelewa Bro,
#OLE MUST GO
Pls do not save 💃💃Chocolate[emoji8][emoji8]
Anakauli mbaya sanaRais kapewa Mamlaka ya kumteua Jaji Mkuu lakini kanyimwa mamlaka ya kumtengua., kuna umuhimu wa viongozi kusoma katiba.
Eeh hapo sasa yataka moyo wakishua. Fumba macho, kaza roho shusha hata glass mbili 😀Nililala labda maji. Na huku porini maji ya kisima rangi ya maziwa duh
Kuku wangu mwenyewe,manati ya nini[emoji16][emoji16]Pls do not save [emoji126][emoji126]
Ndio ndioo baeKuku wangu mwenyewe,manati ya nini[emoji16][emoji16]
Kulikoni? maana wa kusoma leo wanafanya mitihani..wakubwa nao jumatatu wanaamka na mengiWakishuaaaa leo kichwa kinagonga balaa
Niko sawa,
Unaendeleaje?
Hahahaa ngoja nijaribu. Ila eti kaza roho hahahaEeh hapo sasa yataka moyo wakishua. Fumba macho, kaza roho shusha hata glass mbili 😀
Daaah ninge kuja PM basi. Kizuri kula na mwenziooooChocolate[emoji8][emoji8]
Naendelea vyema, ila matunda sijapata😒The Happiness niambie umeamkaje na unaendeleaje?
Sina wasiwasi kabsa [emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ndioo bae
Manati hayana nafasi, kuku wako mwenyewe jioni atajirudisha bandani [emoji23]
Hahah [emoji125][emoji125]Daaah ninge kuja PM basi. Kizuri kula na mwenzioooo
ni kawaida kama mtihani wa necta mlianza na hesabu lazima kichwa kiumeWakishuaaaa leo kichwa kinagonga balaa