Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwisho ulifanikisha kuoa au ulifuata matakwa ya wazee.?
 
BabaMorgan inategemea kama sababu wazazi wako wanazozitoa zina tija.

Unajua sisi tukishapenda wengi tunakuwa blind hata kasoro za wapenzi wetu hatuwezi kuziona kwa sababu tupo kwenye dimbwi la mahaba.

Watu wa nje wana nafasi kubwa sana ya kujua tabia za mpenzi wako. Sasa wewe ni jukumu lako kufuatilia kujua kwanini hakubaliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…