SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,076
- 13,953
Pole sana ndugu yangu.Single mother.
Kwa miguu
Family zetu zishajenga utamaduni kuwa wao ndo maamuzi ya mwisho either unapenda au upendi lazima ufuate.muda ukifika sijui kama kuna wakunizuia "sijui"
nisiseme sana
Hahah! Huo ni zaidi ya upendo babe
Jana ulisinzia eeeh😅😅Ya muda gani.?[emoji41]
Hahah! Homebway huyo unataka kumtafutia ban ni mrembo wangu yule anafanya beki zangu zisikabe kabisakumbe tena (davet) ni mwana familia wako basi.
homeboy wangu asijekufa na presha bure kwa mwanafamilia mwenzake wa humu Likes kupigwa Ban.
Nahisi alipiga doria ya kimya kimya maana ata anisumbui leo 😀Jana ulisinzia eeeh😅😅
Inawezekana aisee 😅😅Nahisi alipiga doria ya kimya kimya maana ata anisumbui leo 😀
Jana ulisinzia eeeh[emoji28][emoji28]
Nimewanunia aisee[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Nahisi alipiga doria ya kimya kimya maana ata anisumbui leo [emoji3]
nimeacha kwakweli naendelea tu kuwa na amani.[emoji23]Hahah! Homebway huyo unataka kumtafutia ban ni mrembo wangu yule anafanya beki zangu zisikabe kabisa
Yani acha tu, nakuja kushtuka mmeeshamliza vitumbua vyote[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Jana ulisinzia eeeh[emoji28][emoji28]
Kwani tumefanyaje adi utununie? 😀Nimewanunia aisee[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Unajua tu, Tena bora Kaka angu aliniita kwa mbaliKwani tumefanyaje adi utununie? [emoji3]