Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah! Pamoja sananimeacha kwakweli naendelea tu kuwa na amani.[emoji23]
Uliniona nakunywa Kahawa ukaniona mshamba sasa hivi unanilaumuUnajua tu, Tena bora Kaka angu aliniita kwa mbali
Ankoo niache kwanza nipo kitaa kusaka mbebeziii...
[emoji2296][emoji2296]Uliniona nakunywa Kahawa ukaniona mshamba sasa hivi unanilaumu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Shukrani
Na huyo mdada ni wewe?ankoo anauliza[emoji16][emoji16]
😀😀[emoji2296][emoji2296]View attachment 1258520
Mrs Mackezie[emoji7][emoji7]View attachment 1257011
The don heshima yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umependeza
😂😂 Umependeza
Hahah!!Saved.
Kuna huyu pia kuna yule [emoji8][emoji8]
Ila poa tu, ukifumua hizo njoo nikusuke yebo yebo
Jana ulijificha wapi?[emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Alikuwa anachungulia au sio?[emoji23][emoji23]Nahisi alipiga doria ya kimya kimya maana ata anisumbui leo [emoji3]