Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Basi hakuna kitu. Namkumbuka hata yule daktari bingwa wa magonjwa ya moyo aliyekuja na moto kufungua Institute kubwa ya upasuaji wa moyo. Walimnyima raha mpaka akafa. Alikuwa hajui kuwa watu kwenda India kwa upasuaji aliokuwa anataka kuwa anaufanya ni upigaji tena mzito. Alikufa akiwa hana kitu baada ya mabenki kumfilisi kila kitu wakati huo huo serikali imemnyima kibali.

Bado safari ni ndefu !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…