D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
nipo kisonge karibu na nyumba yenuWewe endelea kucheza bao huku ukinywa kahawa hapo wete.
Anyeonghalua kama zile za bakhressa ndio unazopenda au zile za wapemba wanazofunga kwenye makuti ya mnazi
View attachment 1267544
annyeoooong mwalimu wangu wa ingilishi asiyeingia darasaniAnyeong
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa napita kimya.
Niende kuwacheka ili nioge matusi?[emoji12]
Huwa napita kwa lengo la kujifunza na kuvunja mbavu kwa ile mitusi ya watu wa man u
Hii sehemu imepoa mno.nipo kisonge karibu na nyumba yenu
View attachment 1267606
Huko nako hapachelewi kutibukaNamkaribisha livapuu.
Man u wamebaki mashabiki wenye mioyo wa chuma tu[emoji12]
miaka michache ijayo patachangamka.Hii sehemu imepoa mno.
Kwenye ushindi sasa wanavyojitapa na ile this is liver huwa comedy toshaNdiyo.
Liver huwa wanatukana wao kwa wao.
Huwa wananipa Raha Sana..
Wakianza kumnanga kocha Sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..Mara mbaguzi..hayo yote huja tukizidiwa Sana uwanjani
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]annyeoooong mwalimu wangu wa ingilishi asiyeingia darasani
Hahahahahaa moud bana
nitakatisha mshahara ukiendeleza utoro[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Hapo hapatachangamka wenyeji wamepoa sanamiaka michache ijayo patachangamka.
kuna mjengo mkubwa sana wa biashara wanajenga wale wahuni wa ZSSF
K/Koo hata sikujui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wapenzi wengi wa liverpool ni vichaa wa tabia na si matendo.Kwenye ushindi sasa wanavyojitapa na ile this is liver huwa comedy tosha