moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mzee wa urojo
Mwaka huu usiponenepa basi tena. Huku "You will never walk alone". Huko "This is Simba brother". Dah [emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi sina timu ila huwa nina tabia ya kushabikia timu zinazofungwa na huwa sipendi kabisa timu zinazoziona zenyewe ndiyo Alpha na Omega. Hata maishani hivyo hivyo. Huwa sipendi kabisa akina Kiduku Lilo wanaojivunia iPhones zao na ma Range Rovers. Ndo maana Livapuu mwaka huu ni adui zangu wakubwa hasa kutokana na mashabiki wake waliojaa dharau na kujiona. Halafu wanafuatia Man City japo nao mwaka huu wanasuasua. [emoji16][emoji16]
[emoji38]kwa bango hilo feza panamfaaUDOM wana vituko dah [emoji16][emoji16][emoji16]
Karibu mtaani dogo na bango lako hili. Itabidi ufute hapo juu uandike "Mwalimu Mwenye Digrii Natafuta Ajira"
Heee, nitarudi kesho![emoji23][emoji23][emoji23]Matatizo ya homoni
Kuwa na homoni nyingi za kiume (androgens) kama testosterone huweza kupelekea kisimi kuongezeka ukubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haiwezekani, mie mwenyewe namtafuta[emoji2088][emoji2088]
Hahahaahaa usiku mwemaHeee, nitarudi kesho![emoji23][emoji23][emoji23]
#NimewekaAlama
#Nilipoishia[emoji113]
Umemaliza Livapuu umehamia Simba. Jizazi [emoji16]
Robert FirminoJamani mwenzenu Leo nimekuja na maua[emoji126][emoji269][emoji255]
Kuipamba livapuu,maua ya sifa mahali hapa yoyoyo[emoji443][emoji444](kwa sauti ya Martha baraka)
Livapuu isifiwe[emoji7][emoji3590][emoji91][emoji91]
Anachanganya madesa huyu[emoji17]