Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha[emoji23][emoji23] nakushangaa unakubali kushirikiana na maadui zetu
Msamehe Bure,hajui alisemalo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nina wasiwasi wapinzani washaanza kuturoga liva[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..huyu brother washamvuruga
 
Umeenda kufukua kaburi la miaka 9 iliyopita.
Si bure[emoji23][emoji23], Manara anakunyimeni usingizi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nina TECNO. Simu hii nimetoka nayo mbali na imevumilia mengi zikiwemo vurugu zako za Livapuu na inapataga joto sometimes kama inataka kuripuka. Hii haiji kuuliwa na mbwembwe zako na Khantwe wako [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…