Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi umenionea, sijawahi kushabikia mpira hata sijui mule uwanjani huwa wanaingia kucheza watu wangapi
 
Na hiyo ni kwa sababu Pochettino ilikuwa kumpata ni lazima ulipe fidia kuvunja mkataba wake huko Spurs. Lakini, kwa sasa kocha huyo anapatikana bure na ukitazama Ole hana mwenendo mzuri kwenye kikosi cha Man United jambo linalowafanya kufikiria kwenda kumnasa mtu wao waliyekuwa wakimtaka siku nyingi. Si kitu cha kificho hata Pochettino mwenyewe hatawakataa Man United wakimtaka.
 
Arsenal

Chaguo litakalokuwa na utata. Lakini, Arsenal kwa sasa wanahitaji kurudi kwenye makali yao, hivyo hawataona hatari kumfuta kazi Unai Emery na kumpa kazi aliyekuwa kocha wa wapinzani wao, Pochettino.
 
Wakati hilo likiendelea kwa Tottenham, Arsenal hao wamekuwa kwenye majanga makubwa, tangu mwaka 2016 hawajafuzu kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bodi sasa inaweza kufumba macho na kumchukua Pochettino bila kujali ametokea Tottenham.
 
Barcelona

Pochettino ni jina la tatu kwenye orodha ya Lionel Messi ya makocha anaopenda kuwaona wakija kuinoa Barcelona. Majina mawili ya kwanza ni Marcelo Gallardo na Pep Guardiola, lakini wawili hao wote wameweka kando mpango wa kutua Nou Camp.
 
Kutokana na hilo, Pochettino anabaki kuwa mtu pekee anayepatikana, hasa ukizingatia alishawahi kufanya kazi Hispania, alipokuwa na kikosi cha Espanyol, huyu pia ni Muargentina kama alivyo Messi. Kocha Ernesto Valverde kwa sasa yupo kwenye presha kubwa kutokana na ukweli timu imekuwa na matatizo mengi uwanjani.
 
Bayern Munich

Imeachana na kocha wake Nico Kovac na aliyekuwa msaidizi wake Hansi Flick ndiye aliyepewa majukumu ya kuwa kocha wa muda. Kwa sasa anafanya vizuri na pengine Bayern Munich inaweza kufikiria kubaki naye. Lakini, baada ya kufahamu Pochettino amefukuzwa kazi huko Tottenham, Bayern inamtazama Muargentina huyo kuwa mtu mwafaka wa kwenda kuchukua mikoba ya Kovac. Kuna nafasi ya kwenda kuchukua mikoba ya kuinoa timu hiyo huko Bundesliga.
 
Lakini, ni jambo la wazi Zinedine Zidane hayupo vizuri tangu aliporudi Machi mwaka huu.Mabosi wa timu hiyo wanaweza kubadili mawazo muda wowote baada ya kuona kwamba Pochettino kupatikana tena bila ya kulipa fidia yoyote.
 
Lakini, ni jambo la wazi Zinedine Zidane hayupo vizuri tangu aliporudi Machi mwaka huu.Mabosi wa timu hiyo wanaweza kubadili mawazo muda wowote baada ya kuona kwamba Pochettino kupatikana tena bila ya kulipa fidia yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…