myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Huyajui masapta sapta wwMasapta ndio manini tena hayo😀😀😀
Si ndio maana nimeuliza, hebu nitoe ujinga basi.Huyajui masapta sapta ww
Hii ni mbege hii lakini😀😀
Shwari aisee, jana nikapitiwa bana.
Natumaini kumekucha salama.
Yaani Napoli inawatoa majasho Simba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
naomba umfundishe elimu ya mapishi mpendwa wangu wa zamani anayeitwa Hawachi
hapo kwenye wali ndio mutakapo tofautiana kwa sababu anapenda zaidi ugali kwa konokono[emoji23][emoji23][emoji23]akaribie ili aanze kupika wali na maharage
Katoka congo eeehhapo kwenye wali ndio mutakapo tofautiana kwa sababu anapenda zaidi ugali kwa konokono
ni mshamba fulani kutoka nyanda za juu na sidhani kama ameshawahi kula samaki wa baharini.Katoka congo eeeh
Basi atajifunza ugali kwa kasa au pweza