Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Waamke kumekucha sioAmkeniiiiii,amkeni amkeniiiiiiii
Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)
First, let me declare kwamba mimi ni member wa muda mrefu humu JamiiForums na nimependa kuja nah hii ID mpya ili kuweza kuficha utambulisho wangu wa hapo mwanzo, ili kuepeuka mambo kadhaa kutoka kwa member ambao nimebahatika kuonana/kukutana nao. Naitwa Priscallia (si jina langu halisi) na umri...www.jamiiforums.com
Nawasalimia tu
Nimemtangaza kivipi??
Nimeleta huu uzi huku maana kuna watu huwa hawasomi nyuzi nyingine.
Lengo wapate ujumbe wa mtoa mada.
Prof kampa na degree ya nyongeza.kuna thread fulani aliandika yule binti na akadai ya kwamba yupo kwenye mahusiano na professor.
Hivi nyie Wanaume mpewe nini mridhike? Wanawake wenzangu kuna la kujifunza kwa hili tukio la Ebitoke
Yaani unakuta Mwanaume unampikia, unamfulia, unamuogesha na mapenzi unampa kama yote. Lakini sasa hizo dharau wanazotuletea hadi unatamani kulia. Ndio maana mimi mwenzenu natoka na Wanaume wanaojielewa sio hao wenye njaa njaa za hovyo kama hao wasanii wa huko nyumbani Tanzania. Like, serious...www.jamiiforums.com
huyo mkokaa anavuta bangi iliochanganywa na sembe.
ukizisoma hizi thread zake utagundua kuna kutofautiana kwa taarifa.Prof kampa na degree ya nyongeza.
Sema kuna sehemu ya hii stor ya mtoa mada haiko sawa[emoji848][emoji848]
Eeeh!Waamke kumekucha sio
Uwongo wala urojo upo kwenye damuwala hupati tabu.
ngoje nimwite mwanafunzi wako na mapemaaa ili mupate kufahamiana zaidi.
Hawachi mpendwa nimekutafutia mwalimu wa mapishi na gharama za huduma nimeshalipa.
nataka kukuona ukipunguza tabia ya kupigana ovyo kama toto tundu.
nimechoka kukupeleka hospitali ya meno