Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Mwenye jukumu la kulinda afya ya baharia ni baharia mwenyewe. Kudai vinginevyo ni kukwepa majukumu na kuhamisha lawama tu. Wewe mwanamke umempata humu mitandaoni humjui mbele wala nyuma ndiyo kweli unauza mechi? Bila kupima na kuvishana mipira? Tena mechi nne tofauti? Shwaini zake baharia huyu kefule. Mi wala simhurumii...
Hana utu kivipi wakati anasema walikuwa wanatumia mpira mabaharia wanavua katikati ya mechi ila akikuwa anawakatalia? Kwa maana hiyo hakuna baharia aliyesex nae peku... Kukosa kwake utu kuko wapi sasaNi kweli ila na yule dada pia hana utu bana.
Sasa ndio habari ya kuwa kwenye gazeti hili hii? Hii si tulitakiwa tuione kwenye Risasi, uwazi huko..Askofu amezidi kusema tayari wameshaanza kumchimba chimba maisha yake binafsi...
View attachment 1276628
[emoji3][emoji3][emoji3] kwa hiyo tutatakiwa kufanya nini wifi maana kila kitu kwako hakifaiKuna wanafiki wa Aina mbili.
Wa kwanza Ni hao walioelezewa hapo juu,
Wengine Ni wale ambao macho Yao Kama darubini kunasa maovu ya mume wangu na kuyaleta kwangu.
Wote siwahitaji..nikiwa mkubwa sitaki ushemeji wa kinafiki[emoji2]
Kanaongea mno - hasa Livapuu wakishinda. Ngoja tukakuze mei bi katapunguza kuzoza. Kumekuchaje huko?Acha kumkuza andaeitini wangu [emoji3][emoji3][emoji3]
Siyo gazeti la Musiba hilo? Kazi yake ni kupambana na wanaomkosoa bosi wake...kwa namna yo yote ile!Sasa ndio habari ya kuwa kwenye gazeti hili hii? Hii si tulitakiwa tuione kwenye Risasi, uwazi huko..
[emoji23][emoji23][emoji23] itabidi kapunguzeKanaongea mno - hasa Livapuu wakishinda. Ngoja tukakuze mei bi katapunguza kuzoza. Kumekuchaje huko?
Mnatakiwa kupiga goti na kuombea ndoa yangu.[emoji3][emoji3][emoji3] kwa hiyo tutatakiwa kufanya nini wifi maana kila kitu kwako hakifai
Haka mi nakaombea kaja kapate wale mawifi wakorofi mpaka kakileta za kuleta kanazabwa vibao hasa siku Livapuu wameshinda mpaka katulie kabisa...[emoji3][emoji3][emoji3] kwa hiyo tutatakiwa kufanya nini wifi maana kila kitu kwako hakifai
Huku ni kwema pia. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23] itabidi kapunguze
Huku kwema kabisa, natumaini hata huko ni kwema
Acha kumkuza andaeitini wangu [emoji3][emoji3][emoji3]
Kanaongea mno - hasa Livapuu wakishinda. Ngoja tukakuze mei bi katapunguza kuzoza. Kumekuchaje huko?
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itabidi kapunguze
Huku kwema kabisa, natumaini hata huko ni kwema
Ndoa yako ombea mwenyewe, unatupa jukumu la kuombea ndoa yako we unafanya kazi gani? Sina muda huo mimiMnatakiwa kupiga goti na kuombea ndoa yangu.
Maswala ya upelelezi wa ndoa yangu sitaki[emoji1787],unakuta mtu kutwa kucha kuleta taarifa za umbea kuhusu mumeo..huyo nia yake ndoa ivunjike
Mashemeji nao,yaani wanatoka kufanya ujinga na mume wangu huko halafu wanakuja kujichekesha kwangu Muda huo huo,utasikia"ahhh shemelaa huyo"
Mabaharia wengi hovyo. Mnato ukiwanogea kampa kampa katikati ye gemu wanaamua kuuza mechi. Binti naye kama keshawaka hata nguvu za kusema "pulizi bebi vaa nyingine" hana gwaride si linaendelea hivyo hivyo peku peku? Leo mkwamo umetokea eti wanamlaumu binti.Hana utu kivipi wakati anasema walikuwa wanatumia mpira mabaharia wanavua katikati ya mechi ila akikuwa anawakatalia? Kwa maana hiyo hakuna baharia aliyesex nae peku... Kukosa kwake utu kuko wapi sasa
[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]. Mi kwenye harusi ya kenyewe hata buku sichangi ng'o! Na kuombea siombei pia. Labda kakihama Livapuu [emoji16][emoji16][emoji16]Ndoa yako ombea mwenyewe, unatupa jukumu la kuombea ndoa yako we unafanya kazi gani? Sina muda huo mimi
[emoji32][emoji32][emoji27][emoji27]
Mabaharia wengi hovyo. Mnato ukiwanogea kampa kampa katikati ye gemu wanaamua kuuza mechi. Binti naye kama keshawaka hata nguvu za kusema "pulizi bebi vaa nyingine" hana gwaride si linaendelea hivyo hivyo peku peku? Leo mkwamo umetokea eti wanamlaumu binti.
Nenda kwenye ule uzi wanaosimuliana jinsi walivyokula tunda kimasikhara ndo utajua ujinga wa mabaharia. Hakuna hata mmoja aliyekumbuka kondomu na sasa uzi unakaribia comments sijui elfu ngapi.
100% kosa hapa ni la mabaharia...
[emoji3][emoji3][emoji3] ndio maana yake[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]. Mi kwenye harusi ya kenyewe hata buku sichangi ng'o! Na kuombea siombei pia. Labda kakihama Livapuu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndoa yako ombea mwenyewe, unatupa jukumu la kuombea ndoa yako we unafanya kazi gani? Sina muda huo mimi
Livapuu sihami ng'oo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]. Mi kwenye harusi ya kenyewe hata buku sichangi ng'o! Na kuombea siombei pia. Labda kakihama Livapuu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]. Mi kwenye harusi ya kenyewe hata buku sichangi ng'o! Na kuombea siombei pia. Labda kakihama Livapuu [emoji16][emoji16][emoji16]
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] ndio maana yake