myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kukodoa macho.Hahah december ndio hii,lazima mpotezee wallah
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] msimu huu tutateseka sana aisee,ndio maana Bro huwa anazima data kwa tambo hizi[emoji2][emoji2]Endelea kukodoa macho.
Dec ndo hii..ukikodoa macho kusubiria tufungwe,utakodoa Hadi yatavimba[emoji3].
Hii Ni livapuu wacheza mpira na si ngoma asilia kama Manchester [emoji23]
Azime tu.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] msimu huu tutateseka sana aisee,ndio maana Bro huwa anazima data kwa tambo hizi[emoji2][emoji2]
Mbinu zako zakunigombanisha na bro wangu ningendako nimezishtukia ππMzima kaka...nimekuhamu ujue!!
Timu yenyewe toka ligi kuu ya Uingeleza ianzwe kuitwa EPL kombe wanalisikia tu redioni ,ila tambo sasa kama zote hivi[emoji2][emoji2][emoji2]Azime tu.
Nitamtafuta popote..[emoji23][emoji23]
Tena mshukuru sijui chochote kuhusu Mpira..ningeujua mpira Kama brother MOUD walah ningeua watu kwa kizomeo humu ndani
Nakufatilia bro...endeleeni tu
πππππππNakufatilia bro...endeleeni tu
#Usijenionambaya
#Ukikojoadagaatusilaumiane[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ushawai kula mayai yaliokuwa mixed na giligilani?
Mbona unajishtukia? ππ
Hauna kitambi?Napenda egg mayonnaise na cress
Hauna kitambi?
Usinitishe[emoji3]Timu yenyewe toka ligi kuu ya Uingeleza ianzwe kuitwa EPL kombe wanalisikia tu redioni ,ila tambo sasa kama zote hivi[emoji2][emoji2][emoji2]
Imagine timu ina umri wa mtu kabsa tena na familia yake haijawahi kubeba kombe[emoji2][emoji2][emoji2]
#Kelelezatembotuhizo[emoji2][emoji2][emoji125][emoji125][emoji125]
Njoo kwenye nyama na.....πHahahaha nashindwa kujua kwanini sinenepi, sina magonjwa makubwa kama pressure au diabetes na ninakunywa sana chai yenye sukari
Na ni mpenzi wa chocolates sana
Kitambi hakuna hata cha urithi [emoji23][emoji23]