Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
#KuchapiwaHakuepukiki.....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mchepuko oyeee!
Habari wanajamvi, Wacha niende moja kwa moja kwenye hoja. Mimi ni mke wa mtu nina miaka kadhaa kwenye ndoa zaidi ya kumi, namuheshimu mume wangu na nampenda sana pamoja na watoto wetu, naye analitambua. Huu ni mwaka wa sita sasa niko na mchepuko wangu na mchepuko wangu naye ni mume wa mtu, na...www.jamiiforums.com
[emoji124][emoji124][emoji124]
Kweli lakini inafika mahali uvumilivu unaweka pembeni, hawa mafundi ndo wanafanya nisipende za kushona[emoji2356]Hahaha mimi mpole sana ila yule fundi alinikera sana hadi leo anasema nimeamini mtu mpole akikasirika ni hatari [emoji23][emoji23][emoji23] yaani wiki 3 mtu anakuzungushaga tu
Wewe sis na upole wako huo? Kenti bilivu [emoji16][emoji16]Mimi kuna huyo mmoja alinizungushaga sana hadi nikamnyang'anya simub[emoji3][emoji3]
Plate tectonics...Pangaea...Gondwanaland...Continental Drift....Alfred Wegner...Subduction Zone...Convection Zone...
Kamanda. Naona leo umewaamulia maCCM [emoji16][emoji16][emoji16]...CCM mbele kwa mbeleView attachment 1280161