Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ule mlo kama huo halafu uishiwe nguvu za kiume? How? Why? Hilo ni tatizo lao mianaume ya pwani huko; minaume goi hoi inashindia urojo siku nzima imejikunja kwenye bao kazi kubwabwaja tu na mizigo ya mabusha [emoji36][emoji36][emoji36][emoji2221][emoji2221]
Kwani sisi Wasukuma samaki hatuli? Unajua Ziwa Nyanza liliko?
ni nani aliyekwambia kama sembe linaongeza nguvu za kiume?Hujui unachokiongea wewe tuliza boli. Au unaongelea Wasukuma wa huko Pemba mmewalisha urojo wakawa legelege?
[emoji818][emoji818]Health is Wealth
As many as 100 enzymes in our body need zinc to work. Its role in building immunity is well recognized for many years.
Eat more of Yogurt, cheese, chickpeas, kidney beans, peas, milk, almonds and cashew nuts as these add good quantities of Zinc to our diet.
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]ni nani aliyekwambia kama sembe linaongeza nguvu za kiume?
kumbe nyinyi wasukuma huu ujinga na ushamba ni wa kurithi kutoka kizazi kimoja kwenda chengine....
unawafananisha samaki wa maji baridi na samaki wa baharini. wewe mzee huenda umechanganyikiwa usiku huu.....
halafu siku hizi wasukuma wanaoishi pemba wamesha staarabika, zamani walikuwa wakishalipwa pesa ya kulima wanakimbilia mjini kununua redio, angalau siku hizi wananua sabuni za kukoshea minara yao.
unaijua bahari wewe mzee.....Kwani sisi Wasukuma samaki hatuli? Unajua Ziwa Nyanza liliko?
Hii comment sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
ningendako naomba ushuhuda pliiizii[emoji125][emoji125][emoji125]
View attachment 1281716
Unaongea dah! Hata mademu wa Kipemba/Kizaramo wanasubiri. Jizazi...I am out [emoji2221][emoji2221][emoji2221]unaijua bahari wewe mzee.....
unafananisha ziwa na bahari.....
fanya ulale babuuuu
ni nani aliyekwambia kama sembe linaongeza nguvu za kiume?
kumbe nyinyi wasukuma huu ujinga na ushamba ni wa kurithi kutoka kizazi kimoja kwenda chengine....
unawafananisha samaki wa maji baridi na samaki wa baharini. wewe mzee huenda umechanganyikiwa usiku huu.....
halafu siku hizi wasukuma wanaoishi pemba wamesha staarabika, zamani walikuwa wakishalipwa pesa ya kulima wanakimbilia mjini kununua redio, angalau siku hizi wananua sabuni za kukoshea minara yao.
wapinzani wa tanzania hamueleweki...Waliotawala nchi zao kwa mkono wa chuma
na wewe unaamini sembe linaongeza nguvu za kiumeeeeKuhusu hilo hata mimi hajanishawishi [emoji87][emoji87]
Wanaume wa Kipemba wanaongea kama cherehani. Halafu sasa hawachagui maneno. Matusi twende...Hata mimi umeshanishinda kwa kweli[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Daaah huu utani wenu mimi umenishinda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji114][emoji114]