Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbona kawaida sana hiyo dadake.
Inajulikana chakula maalum kwa wasukuma na makabila mengi ya bara ni ugali.
Watu wengi bara huko pilau hawaijui.
tatizo lenu mulijifungia ndani sana ndio maana maendeleo na ustaarabu ulichelewa kwa baadhi ya makabila...
mpaka leo munakula sembe kwa konokono

halafu munajisifia ujinga
thembeeee linaongeza nguvu za kiumeeeeee
labda linaongeza nguvu za makalio
 
Kama kilele chao hakina faida watuache[emoji23][emoji23][emoji23] Maana sasa wamekuwa watu wa kuonja onja wakisaka kilele cha Kibo[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…