Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23]
 
Neno la Mungu linatuonya, tusidhihaki wengine.Kwanini unstudhihaki na timu zetu??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona Leo umeamua uje na gia nyingine eeh??
Sasa ukiangalia kiroho zaidi,mpira si kipaumbele katika mambo ya kiroho.

Nimeshabikia timu yangu,nimeiponda Manchester na hii itasaidia kuifanya kuongeza juhudi.
Siwezi kuipaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…