Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Waongo waongo kwenye suala la mahusiano, anaweza kuacha mume/mke huko Mtwara akija Dar au popote atajifanya hajaolewa.
Na mwanamke anaweza akaolewa tena huku akijua kwao ana mume wa ndoa.
Watu wa kusini Mungu anawaona
Hii tabia sana wanayo watu wa kusini si Mwanaume au mwanamke akikuelekeza udugu si wa kuwaamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…