carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kwema mtani,sijui kwako.Mtani kwema?
Hadi tar 8 nafikiri.Yupo Kenya[emoji3][emoji3]
[emoji91][emoji91][emoji91]##Ndoa sio mbaya dada yangu.
Bahati mbaya sana maadili yamepungua sana hadi wanaofaidi ndoa wamekua wachache.
Kuishi na rafiki yako wa dhati kama mwenzi wa ndoa ni jambo nzuri sana.
#MarryYourFriend
Mimi hata sizielewi.Taarifa zimekuwa za kushtukiza mno
[emoji23][emoji23][emoji23]Haya mambo ya kwa kina Daemusin haya
Daah! Na umeshindwa kunyamaza? Nitaona aibu mimi jamaniHuku kwema pia.
Nimeona mzigo kwa Mshana πππ
Ameen kwa sote
Mh....Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara Daniel Shilla amesema Mkazi wa Mjini Bunda, Mara Chacha Werema mwenye umri wa miaka 38 ambaye alikuwa mtunza stoo wa vifaa vya ujenzi vya nyumba ya Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amefariki Dunia wakati akiwa kwenye nyumba ya kulala wageni eneo la Nyasura, Bunda.
_
"Tulipokea taarifa za kifo cha Chacha ambaye alikuwa mtunza stoo ya vifaa vya ujenzi kwenye site ya Waziri Lugola, uchunguzi wa awali unaonesha alikufa kwa Presha, Gesti alikuwa peke yake tu alichukua chumba kupumzika wakati akiendelea na usimamizi wa ujenzi"- RPC MARA
Inakuaje utamu wa bae unaonesha vile jamanii ππDaah! Na umeshindwa kunyamaza? Nitaona aibu mimi jamani
ππMimi hata sizielewi.
Kuna kipindi nilisikia bidada ni mjamzito
Naomba mzigo na mimi nione[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]Huku kwema pia.
Nimeona mzigo kwa Mshana [emoji3][emoji3][emoji3]
Shemeji kalaleeeeee[emoji351][emoji351][emoji351][emoji351][emoji351]Makamu Mwenyekiti. Welcome back home.
Kuna mambo huwa yanatokea kwa bahati mbaya sana, ndio kama ile πInakuaje utamu wa bae unaonesha vile jamanii ππ
#bae wako ana upinzani mkali
Inatosha dada ππππππYaani hana hata doa kitu cheupeeπππ
Ina maana mpendwa huwa unapita kwa kunyata sasa hivi ndio naelewa why uliandika vile jana ππHuku kwema pia.
Nimeona mzigo kwa Mshana πππ
AiseeUpo srz nikupe?
Mwaka huu mkiendelea hivi kombe ni lenu
Aliandikaje pls nioneshe na mimi nikasomeIna maana mpendwa huwa unapita kwa kunyata sasa hivi ndio naelewa why uliandika vile jana ππ
Wanasema alikuwa peke yake.Mh....
Alikuwa peke yake kweli?
Apumzike salama.