Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nipe namba yake nimbembeleze akuwelokamu baki maana hadi nimekuonea huruma,, ila ukomage na wewe kuzunguka kwenye hayo mabucha ona sasa nyama uliyoenda kuambulia..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We acha tu. Shida yetu tunapenda sana kutembelea mabucha tofauti tofauti wakati nyama kimsingi ni ile ile hakuna kipya mbali na majuto tu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nipe namba yake nimbembeleze akuwelokamu baki maana hadi nimekuonea huruma,, ila ukomage na wewe kuzunguka kwenye hayo mabucha ona sasa nyama uliyoenda kuambulia..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Tunakomaga basi wanaume? Alishaolewagwa halafu. Labda unibembelezee nipashe kiporo tu [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…