Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahah yule mpare anapambana kupindua meza bro,
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mbona umekubali kushindwa mapema sana?
Msukuma ana li iPhone s eleven huko limejaaa picha za gb efu hamsini.
Mimi Nina kitekno kina picha 10 za wasukuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unadhani Kuna kushinda hapa?
SYB nitashindana naye kwenye vitu vingine ila si picha
 
Msukuma ana li iPhone s eleven huko limejaza picha za gb efu hamsini.
Mimi Nina kitekno kina picha 10 za wasukuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unadhani Kuna kushinda hapa?
SYB nitashindana naye kwenye vitu vingine ila si picha
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mpinzani umeshindwa mapema sana.
Unaniangusha bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…