moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Chumila Chumilaaaa.... Namna gani tena pale?!!!
Huyu jamaa sijui kama utamsahau [emoji3][emoji3]
#TANZIA: Mchezaji wa zamani aliyewahi kuzichezea timu za Simba na Yanga pamoja na timu ya taifa ya Tanzania Ally Yusuph Tigana, amefariki dunia leo katika Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mfupi. Azam TV on Twitter"Dua dua dua, aaah Mchatta hebu elezea"
Liongo ilikuwa kona maridadi iliyopigwa na Abdul Mashine, ikamkuta Malota Soma akaigonga kwa kichwa, ikamkuta Dua Saidi akamwambie Nemes hodii.
Ni goli maridadi sana, kwako Abubakari Liongo.
1993.
Simba 1--0 Yanga
Injinia Massawe.. Ni BEAST! [emoji23] Amezimia lakini mkono hautoki Mahali ilipo wallet.... View attachment 1282810
Kwa heshima ya goli tano za Jana.
Naweka Avatar[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 1282819
Itapendeza zaidi ukinikaribisha huko Mwakaleli ili tuje tushindane mambo mengine laivu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Itapendeza zaidi ukinikaribisha huko Mwakaleli ili tuje tushindane mambo mengine laivu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]