Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi mnawezaje soma soft copy??nipeni ujuzi maana nikishika simu ana pc naishia kwenye mitandao na kuangalia movie.

Natamani niwe nasoma ila soft copy imenishinda ila hard copy nasoma vizuri sana
We kama mimi [emoji23][emoji23][emoji23]

hahahahah

Labda mjaribu kutumia kindle(or the likes) kwani hautashawishika kuperuzi au kufanya kitu kingine tofauti na kusoma.
Pia, ukijitahidi story ikishanoga utamu ukakolea nafikiri hata kwenye simu mtasoma tuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…