Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kuna aina fulani hivi ya mihogo hata ukiila mibichi mziki wake ni hatari. Hapa naona wamechanganya na unga wa mtama/ulezi kidogo.Ugali wa muhogo wenye sumu waua watoto Serengeti mkoani MaraView attachment 1289118
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa dah! Kila siku mashtaka yanazidi kurundikana. Inasemekana kaAliyah masikini alianza kukatafuna kakiwa na miaka 12 kalipofikisha 15 akabeba jumla. Hafai huyu jamaa....and he believes he can fly....

Nilitaka niulize hivyo hivyo.Salama TH?Kwani kuna habari gani?
Wamfilisi nini wakati ni muflisi tayari? Pesa wanasheria wamekwangua zote na inavyoonekana hakuwekeza vizuri. Hana kitu labda wachukue loyalties za muziki wake japo nao watu hawataki hata kuusikia tena.
Wachaga waache kuendesha ma Lexus na ma Range Rover yao kwenda nyumbani kuhiji waje wapande treni?