Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna mambo ni magumu sana.


Kwenye ndoa, parachichi/fenesi ni mali ya wanandoa tuu.Hamna namna ya kujiongeza huku ukimlisha mtu kando tunda.

Na nafikiri anaumia zaidi akimuona mkewe anatoa semina kuhusu mambo ambayo yeye mwenyewe hayatekelezi.

Hapo ni kumwambia mke kuwa anajua hali halisi.watoto wajue kama wazazi wataachana...

#kuchapiwaKunaepukika
 
Hashtag nmeilewa sana Bro[emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…