Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Rafiki wa Wazayuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*KISA CHA KUSHANGAZA*
*Kaka yangu alinunua gari mpya akanipa ya zamani.*
*Akanunua simu mpya akanipa ya zamani.*
*Akanunua nguo mpya akanipa za zamani.*
*Akanunua vitu vya kisasa vya ndani vya zamani vyote akanipa*
*Jana kaoa mke wa pili....!!*
*Yaani huwezi amini mpaka sasa hivi niko nyumbani kwake anajifanya hajui mimi nasubiri nini?*
Hata mimi nasubiri [emoji16][emoji16][emoji16]Kuna watu wa kanda ya ziwa hum watusaidie kujibu? [emoji16][emoji16][emoji16]
Je ni kweli kabila hili hukuza maumbile ya siri za kiume kwa mmea huu?
Halo JF mapenzi. Nina rafiki yangu nesi amekuwa akiwafanyia tohara watu mbalimbali. Sasa juzi kati alitembelea eneo wanaloishi kabila kubwa humu nchini lenye asili ya kanda ya ziwa. Anadai wanaume wa huko hata mtoto wa miaka 10 ana mashine sio mchezo!! Anadai huwa anaogopa hata kuyashika...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya. Tusubiri waje [emoji23][emoji23]Hata mimi nasubiri [emoji16][emoji16][emoji16]
Asante sana Queen
Hahah
Huyu msela tu huyu. Si ndiyo alikuja akatuahidi kutujengea uwanja wa kimataifa DOM?
Hahah! Ndio hapo sasaHehehehe humu watu huwa wanajisahau sana,wahenga wachache sana humu
Hapo gawa kwa 2[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]mie nina 42