moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Real Madrid ndiyo wanaotajwa kuwa na nafasi kubwa ya kumchukua mshambuliaji huyo baada ya mwenyewe kuwa na ndoto za kwenda kukipiga Bernabeu huku Los Blancos wakiripotiwa kuwa tayari kulipa Pauni 342 milioni ili kupata huduma ya mshambuliaji huyo matata.
Leo nimekosa usingizi
Kesho wikendi bana. Tukesheni tu hapa. Usije ukatukimbia hapa halafu ukaenda majukwaa mengine huko [emoji16][emoji16][emoji16]Sijalalamika lakini [emoji3][emoji3][emoji3]
Nazima soon, naona unanifukuza [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app