Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Mwenzi wa 2 mwakani.hahahahahahah, hii mitaa yako inachekesha.
Haya nitakuja kukusalimia.Matikiti tunavuna lini?
Amen, na kwako pia.Uwe usiku uwe wa amani wenye kutuliza roho zilizochoka mihangaiko ya mchana kutwa. Usiku mwema wapendwa tukijaliwa inshaalah.
Poa, nitakuja kuvuna.Mwenzi wa 2 mwakani.
Isingekuwa Nyerere kuingilia kati mwaka 1995 akidai kuwa hawezi kuiacha nchi yake itawaliwe na mbwa Lyatonga angeukwaa uraisi. Maandaeitini wengi humu walikuwa hawajazaliwa. Ni muhimu kuwa tunawamegea historia hizi pole pole [emoji16][emoji16][emoji16]
Unakaribishwa mpendwa. Ukishuka na hii Bombadia mpya pale jiji la Mawe kwa Numbisa panda mabasi ya kwenda Misungwi. Ukikaribia Misungwi mjini kama kilomita 50 hivi porini porini utaona mashamba makubwa ya nyanya na dengu. Shukia hapo uulizie mzee mwenye kitambi Aitwaye Gashimba utaletwa mpaka nyumbani hata na kipofu. Karibu sana mpendwa tusherehekee kitakatifu kuzaliwa kwa Bwana Wetu Yesu Kristu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Tualikane sikukuu yaani uzi una wachoyo.
Hatariii
👍 👍
🤣 🤣 🤣Tualikane sikukuu yaani uzi una wachoyo.
Kweli, mitimu yenye wapaki basi sio kabisa