Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa maisha yapi waliyowaboreshea watumishi wa umma hadi wawazuie kutokujishugurisha na biashara zingine...haya ni mashudu kama mashudu mengine tu ya awamu hii [emoji706][emoji706]
Yaani mimi nimeishia kucheka tu kwakweli.

Watumishi wanaishi maisha magumu,wana madeni.
Stahiki zao hawajalipwa yaani shida tu.
Hii kauli ni ya kipuuzi kama kauli nyingine[emoji706][emoji706][emoji706]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunanunua ndege in cash na mahospitalini dawa na vifaa tiba hakuna.
Smh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi bangi wanazovuta hapana kwakweli.

Eti msako wa wanaotaka kujinyonga.

Vichekesho kama hivi vinapatikana tanzania tu



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don't get discouraged, your time is coming.
What you are going through is not permanent.
Life is a constant ebb and flow.
Sometimes, things move at a snail's pace,
and then suddenly, without warning,
change happens in the blink of an eye.
So be ready for new possibilities
and new beginnings.
Truly amazing things can happen
in a single moment!
.
.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maisha yapi waliyowaboreshea watumishi wa umma hadi wawazuie kutokujishugurisha na biashara zingine...haya ni mashudu kama mashudu mengine tu ya awamu hii [emoji706][emoji706]
Yaani mimi nimeishia kucheka tu kwakweli.

Watumishi wanaishi maisha magumu,wana madeni.
Stahiki zao hawajalipwa yaani shida tu.
Hii kauli ni ya kipuuzi kama kauli nyingine[emoji706][emoji706][emoji706]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nyongeza za mishahara walishapewa?

Yale madaraja/vyeo wamepandishwa?

Mafao yao tayari hamna uhakika wa kuyapata ...

Kuna mambo mengine ni bora ukae kimya kuliko kufanya kazi za dohani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…