Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Ugandan Jews?The first-ever Israeli wedding of Ugandan Jews took place on Saturday at a Conservative synagogue in Jerusalem.
The bride and groom – Rivkah Nabulo, 23, and Rabbin Asiimwe, 30 – are both members of the 2,000-strong Abayudaya community, which has yet to be officially recognized by Israel.
View attachment 1314372
Wataalamu wanasema tofauti isizidi miaka 10 na kabisa kabisa isizidi miaka 15. Miaka mitano ndiyo perfect. Mume awe mkubwa na siyo vinginevyo !!!Umri wa wana ndoa umekaa vyema sana..
Kwan bwana na bibi harusi wanatakiwa wazidiane miaka mingap? Bro Shimba
Mambo ya kusema umri wa mtu sio tatzo tuweke pemben..
Hapo je?View attachment 1314151#yagoogle
#msiote
Hili itikio hili huwa linanitikisa mpaka rohoni. Sauti taaamu halafu ukigeuka unakutana na sichana laini macho mlegezo guu guu kiuno hicho halafu ile kitu roho inapenda pwaaa halafu linaitikia tu kivivu "Abeee" kwa sauti ya puani dah! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ooh! Jizazi ..... Yule Nurse wetu anazidi kuimarika tu 😁
Uko sawa bro!!Wataalamu wanasema tofauti isizidi miaka 10 na kabisa kabisa isizidi miaka 15. Miaka mitano ndiyo perfect. Mume awe mkubwa na siyo vinginevyo !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mapenzi yamezaliwa Tanga bana. Tukuyu mbwembwe tu na maneno mengi [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1314165
Mbavu zangu...eti Kuna watu walinyimwa akili [emoji23][emoji23][emoji23]“Natamani mwanangu Karen awe na mahusiano na mtu mkubwa mwenye umri kama wangu ‘sugar dad’ ili amtunze, kwasababu watu wa umri wake hawawezi kumuelewa wala kumsaidia chochote, wao wenyewe wanatafuta maisha halafu umpe mzigo kama huu ataweza kulipa ‘bill’ zake”Gardner Habash.
Kuna watu walinyimwa akili aiseeView attachment 1314163View attachment 1314164
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe???Hili itikio hili huwa linanitikisa mpaka rohoni. Sauti taaamu halafu ukigeuka unakutana na sichana laini macho mlegezo guu guu kiuno hicho halafu ile kitu roho inapenda pwaaa halafu linaitikia tu kivivu "Abeee" kwa sauti ya puani dah! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hivi vyote ulivyosema hapa ni kinyume chakeKumbe???
Ila bahati mbaya Mimi ninalo itikio tu!
Sauti Kama ya wahubiri injili..inakwaruza,ngumu
Kiguu Kama chelewa kikiambatana na tege la maana
Kiuno kigumu Kama ndoo ya chuma uliyoisema huko kwenye pic yako hapo juu
Nyuma pasi ya maana
Jicho kavu Kama jua la dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala huwa sipendi jinsi ambavyo huwa unajisimanga na kuuharibu uumbaji wa Mungu. Acha mara moja !!!Kumbe???
Ila bahati mbaya Mimi ninalo itikio tu!
Sauti Kama ya wahubiri injili..inakwaruza,ngumu
Kiguu Kama chelewa kikiambatana na tege la maana
Kiuno kigumu Kama ndoo ya chuma uliyoisema huko kwenye pic yako hapo juu
Nyuma pasi ya maana
Jicho kavu Kama jua la dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinyume Cha Nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi vyote ulivyosema hapa ni kinyume chake
#wahengatumeelewa
Nimeacha kabisa...Wala huwa sipendi jinsi ambavyo huwa unajisimanga na kuuharibu uumbaji wa Mungu. Acha mara moja !!!
View attachment 1314399
Utafikiri siyo yeye aliyerusha picha akiwa kwenye kitenge juzi hapa tukaanza kutafutana...Hivi vyote ulivyosema hapa ni kinyume chake
#wahengatumeelewa
Acha !!!Nimeacha kabisa...
Ila hivyo vyote ndivyo vinanifanya niwe Mimi na najikubali kuwa mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee, unatuambia nini hapa.Asante sana bro!! Salute na kwako pia
Usirudie tena bana.
Mtani mimi ukitekwa busisi sitalalamika sana[emoji16][emoji16]Mtani yaani wewe ndio unanisema hivi[emoji3][emoji3][emoji3]