D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Masihi aje ukale raha wapi?
Kule hakuna haya mambo.
Aendelee kuchelewa tu tuendelee kuondoka kwa zamuView attachment 1317152
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh no!chanzo JF:
Mwandishi Nguli wa Kazi za Fasihi ya Kiswahili Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia. Tutamkumbuka Kezilahabi kwa kazi zake kama Rosa Mistika, Uwanja wa Fujo, Kaptula la Marx, Nagona na Mzingile! Alitetea Mashairi ya Kisasa!
yupo anayemiliki softcopy ya kitabu hiki?
Kaptula la Marx,
upande wa chama tawala wanasemaje kuhusiana na kifo cha huyo nguli nisiyemfahamu kwa sababu ya uvivu wangu wa kujifunza?Oh no!
Pigo kubwa kwa Fasihi ya Kiswahili. Wengi wanamtambua huyu kama Shaaban Robert wa pili katika Fasihi ya Kiswahili.
Yegomasika pole sana kwa kuondokewa na huyu shujaa. RIP Mwalimu na Mwanafalsafa mbobevu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]